Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 12

24 "Shikeni maagizo haya yawe kanuni ya kudumu kwenu na kwa ajili ya wazao wenu. 25 Mtakapoingia katika nchi Mwenyezi Mungu atakayowapa kama alivyoahidi, shikeni desturi hii. 26 Watoto wenu watakapowauliza, Sikukuu hii ina maana gani kwenu?27 Basi waambieni, Hii ni dhabihu ya Pasaka kwa Mwenyezi Mungu, ambaye alipita juu ya nyumba za Waisraeli katika nchi ya Misri, na hakudhuru nyumba zetu alipowapiga Wamisri.’ " Ndipo Waisraeli walisujudu na kuabudu.

Veja também