Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 16

2 Huko jangwani, jumuiya yote wakawanung’unikia Musa na Haruni. 3 Waisraeli wakawaambia, "Laiti tungekufa kwa mkono wa Mwenyezi Mungu huko Misri! Huko tuliketi tukizunguka masufuria ya nyama na tukala vyakula tulivyovitaka, lakini ninyi mmetuleta huku jangwani ili mpate kuua mkutano huu wote kwa njaa."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também