Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 20:12-17

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

12 Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Mwenyezi Mungu, Mungu wako.

13 Usiue.

14 Usizini.

15 Usiibe.

16 Usimshuhudie jirani yako uongo.

17 Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ng’ombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako."

Watu wanaogopa

(Kumbukumbu 5:22-33)

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    12 Kum 5:16;27:16;Yer 35:7,8;Mt 15:4;19:19;Mk 7:10;10:19;Lk 18:20;Efe 6:2-3;Law 19:3Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.

    13 Mwa 9:6;Law 24:17;Mt 5:21;19:18;Mk 10:19;Lk 18:20;Rum 13:9;Yak 2:11Usiue.

    14 Law 20:10;Mt 5:27;19:18;Mk 10:19;Lk 18:20;Rum 13:9;Yak 2:11Usizini.

    15 Law 19:11;1 The 4:6;Mt 19:18;Mk 10:19;Lk 18:20;Rum 13:9Usiibe.

    16 Kut 23:1;Mt 19:18;Mk 10:19;Lk 18:20Usimshuhudie jirani yako uongo.

    17 Rum 7:7;13:9;Mik 2:2;Efe 5:3;Mit 6:29;Mt 5:28Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala chochote alicho nacho jirani yako.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    12 Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako.

    13 Usiue.

    14 Usizini.

    15 Usiibe.

    16 Usimshuhudie jirani yako uongo.

    17 Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ngʼombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.