Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 22:25

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

25 "Ukimkopesha mmoja wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    25 Law 25:35-38;Kum 15:7-11;23:19-20;Neh 5:7;Eze 18:8Ukimkopesha mtu aliye maskini, katika watu wangu walio pamoja nawe; usiwe kwake mfano wa mwenye kumdai; wala hutamwandikia faida.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    25 "Kama ukimkopesha mmojawapo wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.