Pular para o conteúdo
Publicidade

Êxodo 3

10 Basi, sasa nenda. Ninakutuma kwa Farao ili kuwatoa watu wangu Waisraeli kutoka Misri."

11 Lakini Musa akamwambia Mungu, "Mimi ni nani hata niende kwa Farao kuwatoa Waisraeli nchini Misri?"

12 Naye Mungu akasema, "Mimi nitakuwa pamoja nawe. Hii itakuwa ishara kwako kwamba ni Mimi nimekutuma: Utakapokuwa umewatoa watu Misri, mtamwabudu Mungu katika mlima huu."

Veja também