Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 40:34,35

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

34 Ndipo wingu likafunika Hema la Kukutania, na utukufu wa Mwenyezi Mungu ukaijaza maskani ya Mungu. 35 Musa hakuweza kuingia ndani ya Hema la Kukutania kwa sababu wingu lilikuwa limetua juu ya Hema, nao utukufu wa Mwenyezi Mungu ukaijaza maskani ya Mungu.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    34 1 Fal 8:10-11;Isa 6:4;Eze 43:4-5;Ufu 15:8;Law 16:2;Hes 9:15;2 Nya 5:13;7:2;Hag 2:7,9Ndipo lile wingu likaifunikiza hema ya kukutania, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani. 35 1 Fal 8:11;2 Nya 5:14;Zab 78:14Wala Musa hakuweza kuliingia hema la kukutania, kwa sababu lile wingu lilikaa juu yake, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    34 Ndipo wingu likafunika Hema la Kukutania, na utukufu wa Bwana ukaijaza Maskani ya Mungu. 35 Mose hakuweza kuingia ndani ya Hema la Kukutania kwa sababu wingu lilikuwa limetua juu ya Hema, nao utukufu wa Bwana ukaijaza Maskani ya Mungu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.