13 Ninyi mwajua kwamba ni kwa ajili ya udhaifu wangu niliwahubiria Injili. 14 Ingawa hali yangu iliwatia majaribuni, hamkunidharau wala kunidhihaki, bali mlinikaribisha kama malaika wa Mungu, kama vile Al-Masihi Isa.