Pular para o conteúdo
Publicidade

Gênesis 12

17 Lakini Mwenyezi Mungu akamwadhibu Farao na nyumba yake kwa maradhi ya kufisha kwa sababu ya kumchukua Sarai, mke wa Abramu. 18 Ndipo Farao akamwita Abramu, akamuuliza, "Umenifanyia nini? Kwa nini hukuniambia yeye ni mke wako?

Veja também