Pular para o conteúdo
Publicidade

Gênesis 14

18 Ndipo Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai. Alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.

20 Abarikiwe Mungu Aliye Juu Sana,

ambaye amewaweka adui zako mkononi mwako."

Ndipo Abramu akampa Melkizedeki sehemu ya kumi ya kila kitu.

Veja também