Agano la Mwenyezi Mungu na Abramu
1 Baada ya jambo hili, neno la Mwenyezi Mungu likamjia Abramu katika maono, akaambiwa:
"Usiogope, Abramu.
Mimi ni ngao yako,
na thawabu yako kubwa sana."
1 Baada ya jambo hili, neno la Mwenyezi Mungu likamjia Abramu katika maono, akaambiwa:
"Usiogope, Abramu.
Mimi ni ngao yako,
na thawabu yako kubwa sana."