Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 16

6 Abramu akamwambia, "Haya, mtumishi wako yuko mkononi mwako. Mtendee lolote utakalo!" Ndipo Sarai akamtesa Hajiri, naye akamtoroka.

7 Malaika wa Mwenyezi Mungu akamkuta Hajiri karibu na chemchemi huko jangwani; chemchemi hiyo ilikuwa kando ya barabara iendayo Shuri. 8 Malaika akamwambia, "Hajiri, mtumishi wa Sarai, umetoka wapi, na unaenda wapi?"

Akamjibu, "Ninamkimbia bibi yangu Sarai."

Veja também