Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 17:2,11

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

2 Nitafanya agano kati yangu na wewe, nami nitakuzidisha sana."

11 Mtatahiriwa, na hii itakuwa ni alama ya agano kati yangu na ninyi.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    2 Gal 3:17,18Nami nitafanya agano langu nawe, nami nitakuzidishia sana.

    11 Mdo 7:8;Rum 4:11;Gal 6:15Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    2 Nami nitafanya Agano langu kati yangu na wewe, nami nitakuzidisha sana sana."

    11 Mtafanyiwa tohara na hii itakuwa ni alama ya Agano kati yangu na ninyi.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.