Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 18

13 Ndipo Mwenyezi Mungu akamwambia Ibrahimu, "Kwa nini Sara amecheka na kusema, Kweli nitazaa mtoto nami sasa ni mzee?14 Je, kuna jambo lolote gumu lisilowezekana kwa Mwenyezi Mungu? Nitakurudia majira kama haya mwaka ujao, naye Sara atakuwa na mwana."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também