Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 2

21 Hivyo Bwana Mwenyezi Mungu akamfanya Adamu kulala usingizi mzito, naye alipokuwa amelala akachukua moja ya mbavu zake, akapafunika mahali pale kwa nyama. 22 Kisha Bwana Mwenyezi Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwa ule ubavu alioutoa kwa mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa mwanaume.

23 Huyo mwanaume akasema,

"Huyu sasa ni mfupa wa mifupa yangu,

na nyama ya nyama yangu,

ataitwa mwanamke,

kwa kuwa alitolewa katika mwanaume."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também