Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 21

6 Sara akasema, "Mungu ameniletea kicheko, na kila mmoja atakayesikia jambo hili atacheka pamoja nami." 7 Akaongeza kusema, "Nani angemwambia Ibrahimu kuwa Sara angenyonyesha watoto? Lakini nimemzalia mwana katika uzee wake."

Veja também