Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 3

17 Akamwambia Adamu, "Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka mti niliokuamuru, Msile tunda lake,

"Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako;

kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo

siku zote za maisha yako.

18 Itakuzalia miiba na mibaruti,

nawe utakula mimea ya shambani.

19 Kwa jasho la uso wako

utakula chakula chako

hadi utakaporudi ardhini,

kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo;

wewe u mavumbi

na mavumbini utarudi."

Veja também