35 Wanawe wote wa kiume na wa kike wakaja kumfariji, lakini hakukubali kufarijiwa. Akasema, "Hapana, nitamwombolezea mwanangu hadi nimfikie kaburini." Kwa hiyo baba yake akaendelea kumlilia.
Publicidade
Mwanzo 37:35
ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
Em outras traduções
- SRUV Swahili Revised Union Version
35 2 Sam 12:17;Mwa 42:38Wanawe wote, na binti zake wote, wakaondoka wamtulize, lakini akakataa kutulizwa, akasema, La! Nitashuka kaburini kwa mwanangu, nikiomboleza. Basi baba yake akamlilia.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
35 Wanawe wote na binti zake wakaja kumfariji, lakini hakukubali kufarijiwa. Akasema, "Hapana, nitamwombolezea mwanangu mpaka nimfikie kaburini." Kwa hiyo baba yake akaendelea kumlilia.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.