Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 4

Kaini na Habili

1 Adamu akakutana kimwili na mkewe Hawa, naye akapata mimba, akamzaa Kaini. Hawa akasema, "Kwa msaada wa Mwenyezi Mungu nimemzaa mtoto wa kiume."

25 Adamu akakutana kimwili na mke wake tena, akamzaa mwana, akamwita jina Sethi, akisema, "Mungu amenijalia mwana mwingine badala ya Habili, kwa kuwa Kaini alimuua."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também