8 Wakamjibu, "Sisi sote tumeota ndoto, lakini hakuna wa kuzifasiri."
Ndipo Yusufu akawaambia, "Je, kufasiri ndoto si ni kazi ya Mungu? Niambieni ndoto zenu."