4 Ndipo Yusufu akawaambia ndugu zake, "Sogeeni karibu nami." Waliposogea, akasema, "Mimi ni ndugu yenu Yusufu, yule ambaye mlimuuza Misri! 5 Sasa msihuzunike wala msijichukie wenyewe kwa kuniuza huku, kwa sababu ilikuwa ni ili kuokoa maisha ya watu ndiyo sababu Mungu alinituma niwatangulie ninyi.
Mwanzo 45:4,5
Em outras traduções
- SRUV Swahili Revised Union Version
4 Mwa 37:28Yusufu akawaambia ndugu zake, Karibuni kwangu; basi, wakakaribia. Akasema, Mimi ni Yusufu, ndugu yenu, ambaye mliniuza kwenda Misri. 5 Isa 40:2;2 Kor 2:7;Mwa 50:20;Kum 23:14;2 Sam 16:10,11;Zab 33:18,19;Mdo 4:24;2 Pet 2:9Basi sasa, msihuzunike, wala msiudhike nafsi zenu, kwa kuniuza huku; maana Mungu alinituma mbele yenu kuhifadhi maisha ya watu.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
4 Ndipo Yosefu akawaambia ndugu zake, "Sogeeni karibu nami." Waliposogea, akasema, "Mimi ni ndugu yenu Yosefu, yule ambaye mlimuuza Misri! 5 Sasa, msihuzunike wala msijichukie wenyewe kwa kuniuza huku, kwa sababu ilikuwa ni ili kuokoa maisha ya watu ndiyo sababu Mungu alinituma niwatangulie ninyi.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.