Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 7

7 Nuhu na mkewe, na wanawe na wake zao, wakaingia katika safina ili waepuke ile gharika. 8 Jozi ya wanyama walio safi na walio najisi, ndege na viumbe vinavyotambaa ardhini, 9 wa kiume na wa kike, walikuja kwa Nuhu, wakaingia katika safina kama Mungu alivyomwamuru Nuhu. 10 Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também