Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 8

15 Ndipo Mungu akamwambia Nuhu, 16 "Toka katika safina, wewe na mkeo, na wanao na wake zao. 17 Utoe nje kila aina ya kiumbe hai aliye pamoja nawe, wakiwamo ndege, wanyama na viumbe vyote vinavyotambaa ardhini, ili wakazae, na kuongezeka na kuijaza tena dunia."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também