Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 9

4 "Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu, kwa maana damu ni uhai. 5 Hakika damu ya uhai wenu nitaidai. Nitaidai kutoka kwa kila mnyama. Kutoka kwa kila mwanadamu pia nitaidai kwa ajili ya uhai wa binadamu mwenzake.

6 "Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu,

damu yake itamwagwa na mwanadamu;

kwa kuwa katika mfano wa Mungu,

Mungu alimuumba mwanadamu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também