Publicidade

Hebreus 10

35 Kwa hiyo msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kubwa mno.

36 Inawapasa kuvumilia ili mkiisha kufanya mapenzi ya Mungu mpate kile alichoahidi. 37 Kwa kuwa,

"Bado kitambo kidogo tu,

yeye ajaye atakuja wala hatakawia."

38 Na,

"Lakini mwenye haki wangu

ataishi kwa imani.

Naye akisitasita,

sina furaha naye."

39 Lakini sisi hatumo miongoni mwa hao wanaositasita na kuangamia, bali tuko miongoni mwa hao wenye imani na hivyo tunaokolewa.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-