Pular para o conteúdo
Publicidade

Waebrania 2:4

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

4 Pia Mungu aliushuhudia kwa ishara, maajabu, na kwa miujiza mbalimbali, na karama za Roho wa Mungu alizozigawa kulingana na mapenzi yake.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    4 Mk 16:20;1 Kor 12:4,11Mungu naye akishuhudia pamoja nao kwa ishara na ajabu na nguvu za namna nyingi, na kwa karama za Roho Mtakatifu, kama alivyopenda mwenyewe.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    4 Pia Mungu aliushuhudia kwa ishara, maajabu na kwa miujiza mbalimbali, na karama za Roho Mtakatifu alizozigawa kulingana na mapenzi yake.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.