8 Ingawa alikuwa Mwana, alijifunza utiifu kutokana na mateso aliyoyapata, 9 naye akiisha kukamilishwa, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii.