1 Nitasimama katika zamu yangu,
na kujiweka juu ya maboma;
nitatazama nione atakaloniambia,
na jibu nitakalotoa kuhusu lalamiko hili.
1 Nitasimama katika zamu yangu,
na kujiweka juu ya maboma;
nitatazama nione atakaloniambia,
na jibu nitakalotoa kuhusu lalamiko hili.
1 Zab 73:16,17;Isa 21:8Mimi nitasimama katika zamu yangu, nitajiweka juu ya mnara, nitaangalia ili nione atakaloniambia, na jinsi nitakavyojibu kuhusu kulalamika kwangu.
1 Nitasimama katika zamu yangu,
na kujiweka mwenyewe juu ya maboma;
nitatazama nione atakaloniambia,
na ni jibu gani nitakalotoa kuhusu lalamiko hili.Bwana
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.