Mwana-Kondoo wa Mwenyezi Mungu
29 Siku iliyofuata, Yahya alimwona Isa akimjia, akasema, "Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu!
34 Mimi mwenyewe nimeona jambo hili na ninashuhudia kuwa huyu ndiye Mwana wa Mungu1:34 Yaani Mwana wa asili moja na Mwenyezi Mungu (Yohana 1:1-2), wa kiroho, bali si wa kimwili.."