Isa akataliwa na Wayahudi
22 Ikafika Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu10:22 yaani Hanukkah kwa Kiebrania huko Yerusalemu. Ilikuwa majira ya baridi. 23 Naye Isa alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika Ukumbi wa Sulemani.
22 Ikafika Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu10:22 yaani Hanukkah kwa Kiebrania huko Yerusalemu. Ilikuwa majira ya baridi. 23 Naye Isa alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika Ukumbi wa Sulemani.
22 Basi huko Yerusalemu ilikuwa sikukuu ya kutabaruku; ni wakati wa baridi. 23 Mdo 3:11;5:12Naye Yesu alikuwa akitembea hekaluni, katika ukumbi wa Sulemani.
22 Wakati huo ilikuwa Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu10:22 Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu ni Hanukkah kwa Kiebrania. huko Yerusalemu, nao ulikuwa wakati wa majira ya baridi. 23 Naye Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Solomoni.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.