Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 11

33 Isa alipomwona Mariamu akilia na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye pia wakilia, Isa alisikia uchungu moyoni, akafadhaika sana. 34 Akauliza, "Mmemweka wapi?"

Wakamwambia, "Bwana, njoo upaone."

35 Isa akalia machozi.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também