8 Filipo akamwambia, "Bwana, tuoneshe Baba, na hiyo itatutosha."
9 Isa akamjibu, "Filipo, nimekaa nanyi muda huu wote hata usinijue? Mtu yeyote aliyeniona mimi amemwona Baba. Sasa wawezaje kusema, ‘Tuoneshe Baba’?