31 Pilato akawaambia, "Basi mchukueni ninyi mkamhukumu kwa kufuata sheria zenu."
Wayahudi wakamjibu, "Sisi haturuhusiwi kutoa hukumu ya kifo kwa mtu yeyote." 32 Walisema hivyo ili yale maneno aliyosema Isa kuhusu kifo atakachokufa yapate kutimia.

31 Yn 19:6,7;Mdo 18:15Basi Pilato akawaambia, Haya! Mtwaeni ninyi, mkamhukumu kwa ile torati yenu! Wayahudi wakamwambia, Sisi hatuna ruhusa ya kuua mtu. 32 Yn 3:14;12:32;19:32,33;Mt 20:19Ili litimie lile neno lake Yesu alilolisema, akionesha ni mauti gani atakayokufa.
31 Pilato akawaambia, "Basi mchukueni ninyi mkamhukumu kwa kufuata sheria zenu."
Wayahudi wakamjibu, "Sisi haturuhusiwi kutoa hukumu ya kifo kwa mtu yeyote." 32 Walisema hivyo ili yale maneno aliyosema Yesu kuhusu kifo atakachokufa yapate kutimia.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.