Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 19

4 Pilato akatoka tena nje, akawaambia wale waliokusanyika, "Tazameni, namkabidhi Isa kwenu kuwajulisha kwamba mimi sioni msingi wowote wa kumshtaki." 5 Kwa hiyo Isa akatoka nje akiwa amevaa lile taji la miiba na lile vazi la zambarau. Pilato akawaambia, "Tazameni, mtu ndiye huyu!"

6 Wale viongozi wa makuhani na maafisa walipomwona, wakapiga kelele wakisema, "Msulubishe! Msulubishe!"

Pilato akawaambia, "Mchukueni ninyi mkamsulubishe. Lakini mimi sioni msingi wowote wa kumshtaki."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também