Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 2:1-3

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

Arusi huko Kana

1 Siku ya tatu kulikuwa na arusi katika mji wa Kana ya Galilaya, naye mama yake Isa alikuwepo. 2 Isa pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa arusini pia. 3 Divai ilipokwisha, mama yake Isa akamwambia, "Wameishiwa na divai."

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    1 Yn 1:43Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya; naye mama yake Yesu alikuwapo. 2 Yesu naye alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake. 3 Hata divai ilipowaishia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    1 Siku ya tatu kulikuwa na arusi katika mji wa Kana ya Galilaya, naye mama yake Yesu alikuwepo pale. 2 Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa arusini pia. 3 Divai ilipokwisha, mama yake Yesu akamwambia, "Wameishiwa na divai."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.