Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 20

14 Baada ya kusema hayo, akageuka, akamwona Isa amesimama, lakini hakumtambua.

15 Isa akamwambia, "Mwanamke, mbona unalia? Unamtafuta nani?"

Mariamu, akidhani alikuwa anaongea na mtunza bustani, akamwambia, "Bwana, kama ni wewe umemchukua, tafadhali nioneshe ulikomweka, nami nitamchukua."

16 Isa akamwita, "Mariamu!"

Ndipo Mariamu akamgeukia Isa na kusema naye kwa Kiebrania, "Raboni!" (maana yake "Mwalimu").

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também