Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 20

16 Isa akamwita, "Mariamu!"

Ndipo Mariamu akamgeukia Isa na kusema naye kwa Kiebrania, "Raboni!" (maana yake "Mwalimu").

17 Isa akamwambia, "Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba20:17 Yaani Mwana wa asili moja na Mwenyezi Mungu (Yohana 1:1-2), wa kiroho, bali si wa kimwili.. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu ambaye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu.’ "

18 Kwa hiyo Mariamu Magdalene akaenda kuwatangazia wanafunzi wa Isa, akisema, "Nimemwona Bwana!" Naye akawaambia kwamba Isa alikuwa amemweleza mambo hayo yote.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também