Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 20

Isa awatokea wanafunzi wake

19 Ilipokuwa jioni ya siku hiyo hiyo ya kwanza ya juma, wanafunzi wake walikuwa pamoja, milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa viongozi wa Wayahudi. Naye Isa akawatokea, akasimama katikati yao, akasema, "Amani iwe nanyi!"

Veja também