Pular para o conteúdo
Publicidade

João 20

29 Isa akamwambia, "Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini."

Kusudi la kitabu hiki

30 Isa alifanya miujiza mingine mingi mbele za wanafunzi wake, ambayo haikuandikwa katika kitabu hiki. 31 Lakini hii imeandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Isa ndiye Al-Masihi20:31 Al-Masihi maana yake Aliyetiwa mafuta., Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.

Veja também