Kusudi la kitabu hiki
30 Isa alifanya miujiza mingine mingi mbele za wanafunzi wake, ambayo haikuandikwa katika kitabu hiki. 31 Lakini hii imeandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Isa ndiye Al-Masihi20:31 Al-Masihi maana yake Aliyetiwa mafuta., Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.