Isa amrejesha Petro
15 Walipokwisha kula, Isa akamuuliza Simoni Petro, "Je, Simoni mwana wa Yohana, unanipenda kweli kuliko hawa?"
Yeye akamjibu, "Ndiyo Bwana, wewe unajua ya kuwa ninakupenda."
Isa akamwambia, "Lisha wana-kondoo wangu."