Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 4

31 Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, "Mwalimu, kula."

32 Lakini yeye akawajibu, "Mimi ninacho chakula ambacho ninyi hamkifahamu."

33 Basi wanafunzi wakaanza kuulizana, "Kuna mtu ambaye amemletea chakula?"

34 Lakini Isa akawajibu, "Chakula changu ni kufanya mapenzi ya Mungu ambaye amenituma na kuikamilisha kazi yake.

Veja também