Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 6

27 Msishughulikie chakula kiharibikacho, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele, ambacho Mwana wa Adamu atawapa. Yeye ndiye ambaye Mungu Baba6:27 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu. Mwenyezi amemtia muhuri."

28 Ndipo wakamuuliza, "Tufanye nini ili tupate kuitenda kazi ya Mungu?"

29 Isa akawajibu, "Kazi ya Mungu ndiyo hii: Mwaminini yeye aliyetumwa naye."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também