3 Hivyo ndugu zake Isa wakamwambia, "Ondoka hapa uende Yudea ili wanafunzi Wako wapate kuona miujiza unayofanya. 4 Mtu anayetaka kujulikana hafanyi mambo yake kwa siri. Kama unafanya mambo haya, jioneshe kwa ulimwengu." 5 Hata ndugu zake mwenyewe hawakumwamini.