Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 8

10 Isa akainuka na kumwambia, "Mwanamke, wako wapi wale waliokuwa wanakuhukumu kuwa mwenye hatia?"

11 Yule mwanamke akajibu, "Hakuna hata mmoja, Bwana."

Isa akamwambia, "Hata mimi sikuhukumu. Nenda zako. Kuanzia sasa usitende dhambi tena."]8:11 Maandiko mengine ya kale hayana sehemu ya Yohana 7:53–8:11.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também