20 Yule mwanamke akamwita, "Samsoni! Hao, Wafilisti wanakujia!"
Akaamka toka usingizini, akisema, "Nitatoka nje kama hapo awali; nitajinyoosha, niwe huru." Lakini hakujua kwamba Mwenyezi Mungu alikuwa amemwacha.

20 Hes 14:9,42,43;Yos 7:12;1 Sam 16:14;18:12;28:15,16;2 Nya 15:2;Zab 33:16;Mit 22:14;Yer 9:23,24;Hos 9:12Kisha akasema, Samsoni, Wafilisti wanakujia. Akaamka katika usingizi wake, akasema, Nitakwenda nje kama siku nyingine, na kujinyosha. Lakini hakujua ya kuwa BWANA amemwacha.
20 Yule mwanamke akamwita, "Samsoni, hao Wafilisti wanakujia!"
Akaamka toka usingizini akasema, "Nitatoka nje kama hapo awali, nitawakungʼutia mbali na kuwa huru." Lakini hakujua kuwa Bwana amemwacha.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.