Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 1

Kuzaliwa kwa Isa kwatabiriwa

26 Mwezi wa sita baada ya Elizabeti kupata mimba, Mungu alimtuma malaika Jibraili aende Galilaya katika mji wa Nasiri, 27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu mmoja jina lake Yusufu1:27 Yusufu hakuwa baba mzazi wa Isa, bali alikuwa baba mlezi. wa nyumba ya Daudi. Jina la huyu mwanamwali bikira ni Mariamu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também