Mariamu aenda kumtembelea Elizabeti
39 Wakati huo Mariamu akajiandaa, akaharakisha kwenda katika mji mmoja kwenye nchi ya vilima ya Yudea. 40 Akaingia nyumbani mwa Zakaria na kumsalimu Elizabeti.
39 Wakati huo Mariamu akajiandaa, akaharakisha kwenda katika mji mmoja kwenye nchi ya vilima ya Yudea. 40 Akaingia nyumbani mwa Zakaria na kumsalimu Elizabeti.
39 Basi, Mariamu akaondoka siku hizo, akaenda hadi katika nchi yenye milima kwa haraka mpaka mji mmoja wa Yudea, 40 akaingia nyumbani kwa Zakaria akamwamkia Elisabeti.
39 Wakati huo Maria akajiandaa, akaharakisha kwenda katika mji mmoja kwenye vilima vya Uyahudi. 40 Akaingia nyumbani kwa Zekaria na kumsalimu Elizabeti.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.