Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 10

Hakuna amjuaye Baba ila Mwana

21 Wakati huo Isa akashangilia katika Roho wa Mungu, akasema, "Nakuhimidi Baba10:21 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu., Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa hivyo ndivyo ilivyokupendeza.

Veja também