Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 10

41 Lakini Bwana Isa akamjibu, "Martha, Martha, mbona unasumbuka na kuhangaika na mengi? 42 Lakini kunahitajika kitu kimoja tu. Mariamu amechagua kile kilicho bora, wala hakuna mtu atakayemwondolea."

Veja também