Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 16

23 Kule Kuzimu16:23 Kuzimu kwa Kiyunani ni Hades, yaani mahali pa wafu. alipokuwa akiteseka, alitazama juu, akamwona Ibrahimu kwa mbali, naye Lazaro alikuwa kifuani mwake. 24 Hivyo yule tajiri akamwita, Baba Ibrahimu, nihurumie na umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake ndani ya maji aupoze ulimi wangu, kwa sababu nina maumivu makuu kwenye moto huu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também